Mapepo ni nini? Mapepo ni Malaika walioasi zamani ambao hawakuilinda enzi yao mbinguni. (Yuda 1:6) Na shetani mwenyewe akiwa kama pepo mkuu. Sasa walipoasi ndipo wakatupwa duniani, na hiyo ilikuwa kabla hata ya mwanadamu kuumbwa. Wote walikuwa wameshatupwa huku duniani wakisubiria hukumu yao ya mwisho. Lakini mwanadamu alipoumbwa, na shetani akafanikiwa kumdanganya pale Edeni ndipo … Continue reading MAPEPO NI NINI?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed