ijue Nguvu ya Imani ipo wapi? Imani ni ufunguo wa mambo yote.. Ukiwa na Imani timilifu Bwana Yesu alisema unaweza ukauambia hata Mlima Kilimanjaro uondoke pale, na ukajitupe Baharini, na ukakutii.. Watu wanadhani maneno hayo alimaanisha milima ya rohoni, kwamba unaweza ukayaambia matatizo ondoka hapa uende kule, hapana, bali maneno yale ni ya mwilini kabisa.. … Continue reading IJUE NGUVU YA IMANI.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed