KUOTA UMEFUNGA NDOA.

Kuota umefunga ndoa  kuna maanisha nini? Ndoto ya namna hii mara nyingi inaangukia katika kundi la ndoto zinazozotokana na shughuli nyingi.. Mhubiri 5:3 “Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya shughuli nyingi; na sauti ya mpumbavu kwa njia ya wingi wa maneno”. Na hii inatokana na kwamba pengine umekuwa ukiwaza kuoa au kuolewa hivi karibuni, … Continue reading KUOTA UMEFUNGA NDOA.