CHA KUTUMAINI SINA, Swahili Lyrics. (My hope is built on nothing less) Tenzi hii iliandikwa na mchungaji wa kanisa la kipatisti, aliyeitwa Edward Mote, raia wa nchi ya uingereza, mnamo mwaka 1834, Edward Mote alifanikiwa pia kuandika tenzi nyingine nyingi Zaidi ya 100, lakini iliyopata umaarufu mkubwa ni hii ijulikanayo kama “Cha Kutumaini sina”. Tenzi … Continue reading CHA KUTUMAINI SINA lyrics
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed