NI SALAMA ROHONI MWANGU Lyrics

Ni salama rohoni mwangu lyrics- It is well with my soul. Nyimbo hii ilitungwa na mwanasheria mmoja mkristo aliyeitwa Horatio Spafford, alitunga wimbo huu kutokana na mambo mazito aliyoyapitia katika maisha yake, Matatizo yake yalianza kwa kufiwa na mtoto wake wa pekee wa kiume aliyekuwa na miaka minne, hiyo ilikuwa ni mwaka 1870 Muda mfupi … Continue reading NI SALAMA ROHONI MWANGU Lyrics