JE KIFO NI NINI? NA JE KUNA AINA NGAPI ZA VIFO?

Je Kifo ni nini? Na kuna aina ngapi za vifo? Kifo ni pale uhai unapoondoka ndani ya  kiumbe hai chenyewe. Kwa ufupi kifo ni Mwisho wa Maisha ya mwilini. Lakini katika Biblia vipo vifo vikuu vya aina tatu. Kifo cha mwili, lakini Roho inaishi Kifo cha rohoni Kifo cha Roho yenyewe (hichi kinajulikana kama mauti … Continue reading JE KIFO NI NINI? NA JE KUNA AINA NGAPI ZA VIFO?