KUABUDU SANAMU/IBADA ZA SANAMU.

Kuabudu Sanamu ni nini? Na ibada za sanamu ni zipi? Kuabudu sanamu: Katika  agano la kale ni kitendo chochote cha kwenda kuabudu au kusujudia, au kutumika kitu kingine chochote, tofauti na Mungu mkuu mmoja aliye hai (YEHOVA). Moja ya amri 10 Mungu alizowapa wana wa Israeli, ilikuwa ni pamoja na kujiepusha na ibada za sanamu … Continue reading KUABUDU SANAMU/IBADA ZA SANAMU.