Shalom, jina la Bwana wetu libarikiwe daima. Neno linatuambia.. “Ni huruma za Bwana kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi. Ni mpya kila siku asubuhi..” (Maombolezo 3:22-23). Na wewe usomaye ujumbe huu rehema za Bwana zisikome juu yako daima. Leo tutajifunza kwa ufupi, mambo machache ya kuzingatia tunapokwenda nyumbani kwa Bwana aidha kuzungumza naye, au … Continue reading YAKINI NA BOAZI.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed