JE KUVAA PETE NI DHAMBI?

Je kuvaa pete ni dhambi kwa mkristo? Awali ya yote kabla hatujafahamu kama kuvaa pete ni dhambi au sio dhambi ni vizuri ¬†kwanza tukajua jambo hili kuwa biblia imekataza wanawake wacha Mungu(Wakristo), kujipamba kwa mfano wa wanawake wa kidunia. Biblia ililijua hilo tangu zamani kuwa wanawake wengi watatamani kufanya hivyo, na ndio maana vifungu hivyo … Continue reading JE KUVAA PETE NI DHAMBI?