KWANINI TUNAOMBA KWA JINA LA YESU?
Ili kujua vizuri ni kwanini tunaomba kwa jina la Yesu. Tafakari kidogo mfano huu. Jaribu kuwaza, mfano wewe ni mwekezaji halafu umeona shamba zuri mahali Fulani na unataka kwenda kuekeza kwa ukulima wa kisasa, Ukaanza kufuata taratibu zote za kupata eneo hilo, kuanzia ngazi ya kijiji mpaka almashauri, lakini ‘process’ imekuwa ngumu, mara unaambiwa kinahitajika … Continue reading KWANINI TUNAOMBA KWA JINA LA YESU?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed