FUNGUO ZA UZIMA, MAUTI NA KUZIMU.

Shalom, mtu wa Mungu..karibu tujifunze Biblia… Katika kisiwa cha Patmo, Bwana Yesu alimtokea Yohana alipokuwa ametelekezwa kule na kumwambia maneno mengi