MWEZI WA ABIBU/NISANI NI MWEZI GANI?

Mwezi wa Abibu ni upi? Huu ni mwezi wa kwanza kwa kalenda ya Kiyahudi. Ambao kwa kalenda yetu hii ya ki-gregory unaangukia katikati ya mwezi Machi, na Aprili, kutegemeana na mwaka wenyewe jinsi ulivyokuja. Upo mwaka ambao mwezi huu wa Abibu unaanza katikati ya  mwezi wa tatu, na upo mwaka, unaanza mwanzoni mwa mwezi wa … Continue reading MWEZI WA ABIBU/NISANI NI MWEZI GANI?