REKEBISHA YAFUATAYO ILI MAMBO YAENDE SAWA.
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tuyatafakari maandiko pamoja. Katika maisha, hakikisha unarekebisha vitu vinne. 1) Kazi unayoifanya 2) Kabila unalotoka 3) Nchi unayotoka 4) Mahali unapotoka. Haya ni mambo makuu manne ambayo ni nguzo katika kuyajenga au kuyaharibu maisha. Na kimojawapo kisipokaa sawa mbele za Mungu, basi kitakuletea tufani kubwa katika maisha. … Continue reading REKEBISHA YAFUATAYO ILI MAMBO YAENDE SAWA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed