AMELAANIWA AANGIKWAYE MSALABANI.
Kwanini Amelaaniwa aangikwaye msalabani? Kutundikwa msalaba au kwa jina lingine kutundikwa mtini, ilikuwa ni adhabu iliyotekelezwa kwa watu wenye makosa ya hali ya juu sana. Adhabu hii ilikuwa sio tu ilikuwa inatekelezwa na watu wa mataifa mengine kama wengi wanavyodhani ni Warumi tu, hapana bali pia ilikuwa inatekelezwa na Israeli pia. Ni adhabu yenye mateso … Continue reading AMELAANIWA AANGIKWAYE MSALABANI.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed