Watoto wa Ibrahimu/Wana wa Ibrahimu walikuwa ni wangapi?

Je! Watoto wa Ibrahimu/Wana wa Ibrahimu walikuwa ni wangapi? Jumla ya wana wa Ibrahimu walikuwa ni nane (8). Kulingana na Biblia. Mwana wa kwanza alikuwa ni Ishmaeli, ambaye alizaliwa na kijazi wa mke wake Sara aliyeitwa Hajiri (Mwanzo 16:1-4). Mwana wa Pili, alikuwa ni Isaka,(Ndiye mwana wa Ahadi) ambaye alizaliwa miaka 14 baada ya Ishmaeli … Continue reading Watoto wa Ibrahimu/Wana wa Ibrahimu walikuwa ni wangapi?