Historia ya wimbo wa tenzi – Ndio dhamana Yesu wangu
Historia ya wimbo wa tenzi – Ndio dhamana Yesu wangu. (Blessed assuarance) Wimbo huu ulindikwa na mwanamke mmoja aliyeitwa Fanny Crosby, Mwanamke huyu japo aliishi kwa miaka 95 akiwa kipofu,lakini hakuacha kuitumia neema Mungu aliyompa kutangaza injili kwa njia ya Nyimbo zenye muundo wa Tenzi za rohoni na nyinginezo, katika maisha yake alifanikiwa kuandika nyimbo … Continue reading Historia ya wimbo wa tenzi – Ndio dhamana Yesu wangu
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed