YOTE NAMTOLEA YESU_Tenzi za Rohoni.

Yote namtolea Yesu_tenzi za rohoni|Swahili hymn. Wimbo huu uliandikwa na ndugu mmoja wa kimarekani aliyeitwa Judson W. Van DeVenter, Ndugu huyu alilelewa katika mazingira ya kikristo, aliokoka akiwa na miaka 17, kuanzia huo wakati wito wa kujitoa kikamilifu ulianza  kuita ndani yake,lakini bado hakufanya uamuzi huo. DeVenter alifanikiwa kusoma  mpaka chuo kikuu na kutunikiwa shahaba … Continue reading YOTE NAMTOLEA YESU_Tenzi za Rohoni.