Mto Frati upo nchi gani, Umuhimu wake katika biblia ni upi?

Mto Frati upo nchi gani,  na Umuhimu wake katika biblia ni upi, kwanini utajwe sana? Mto Frati ni moja ya mito mikubwa na mirefu iliyopo Mashariki ya kati