Ni vizuri kufahamu kwanza maana ya uwanda, Uwanda ni sehemu iliyowazi iliyonyooka. Hivyo uwanda wa Dura ni sawa na kusema eneo la Dura lililo wazi. Eneo hilo lilikuwepo Babeli na ndilo Nebukadneza mfalme alilichagua kuwa sehemu ya sanamu yake ya dhahabu aliyoitengeneza kwa ajili ya watu wa ulimwengu mzima kuisujudia. Eneo hilo la uwanda wa … Continue reading Uwanda wa dura ni nini?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed