USHIRIKINA NA MADHARA YAKE.

Ushirikina na madhara yake, rohoni ni yapi? Ushirikina ni kitendo cha kwenda kutafuta msaada wa kiroho au wa kimwili katika mamlaka ya giza. Nikisema mamlaka ya giza namaanisha kwa shetani na mapepo na majini yake yote yanayofanya kazi kupitia watu wanaoitwa waganga au wachawi. Sasa unapoumwa, halafu badala ya kwenda kuwa Mungu upate msaada, wewe … Continue reading USHIRIKINA NA MADHARA YAKE.