JIFUNZE KULIGAWANYA VYEMA NENO LA MUNGU.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo lizidi kubarikiwa. Karibu tujifunze Neno la Mungu wetu. Kama ni msomaji mzuri wa Biblia utakuwa unayajua majaribu matatu ya Yesu aliyojaribiwa na Ibilisi kule jangwani. Jambo la ajabu ni kwamba shetani hakwenda kumjaribu Bwana Yesu kwa uchawi, au kwa magonjwa au kwa maneno yake, bali alikwenda kumjaribu kwa kutumia … Continue reading JIFUNZE KULIGAWANYA VYEMA NENO LA MUNGU.