Nifanye nini ili niishi maisha ya ushindi siku zote?
Maisha ya ushindi Shalom, Awali ya yote ni lazima ufahamu kuwa kupita katika majaribu, kupita katika dhiki, kupita katika mateso, haimaanishi kuwa umeshindwa, hapana hivyo vyote vinaitwa vita,..Kushindwa ni pale, vita hivyo vinapokuzidi nguvu na hatimaye kukuangusha kabisa..hapo ndio umeshindwa. Kwasababu kama ingekuwa kila anayepitia majaribu au dhiki au shida, au bonde la mauti ni … Continue reading Nifanye nini ili niishi maisha ya ushindi siku zote?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed