UNAZO KILA SABABU ZA KUMSHUKURU MUNGU

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe.’ Kama unaishi, basi unayo kila sababu ya kumshukuru Mungu, hata kama huna shilingi 10 mfukoni mwako, unazo kila sababu za kumshukuru Mungu. Kwasababu dakika hii tunayozungumza, wakati wewe unaumwa kichwa tu!..yupo mtu ICU, kapoteza fahamu, yupo mwingine kalazwa unaugua sana. Na wakati pengine wewe upo kitandani umelazwa, ukitafakari … Continue reading UNAZO KILA SABABU ZA KUMSHUKURU MUNGU