Jeshi la Mbinguni wana wa Israeli waliloliabudu ni lipi?

SWALI: Ni jeshi gani la Mbinguni ambalo Mungu aliwaacha wana wa Israeli waliabudu katika Matendo 7:42? Je ni Malaika au? JIBU: Matendo 7: 41  “Wakafanya ndama siku zile, wakaleta dhabihu kwa sanamu ile, wakafurahia kazi za mikono yao.  42  Basi Mungu akaghairi, akawaacha ili waliabudu jeshi la mbinguni, kama ilivyoandikwa katika chuo cha manabii, Je! … Continue reading Jeshi la Mbinguni wana wa Israeli waliloliabudu ni lipi?