Mafuta yanayozungumziwa kwenye Yakobo 5:14, ni mafuta gani?
SWALI: Yakobo 5:14 inasema, wazee wa kanisa wakitaka kumwombea mgonjwa wampake mafuta, je! yale ni mafuta ya upako au?. Na kama sio, ni mafuta gani yanayozungumziwa pale?. Yakobo 5:14 “Mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa; nao wamwombee, na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana”. JIBU: Kabla hutujaona ni mafuta gani yanayozungumziwa … Continue reading Mafuta yanayozungumziwa kwenye Yakobo 5:14, ni mafuta gani?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed