NAYE HERI AWAYE YOTE ASIYECHUKIZWA NAMI.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe daima. Karibu tujifunze Maneno ya uzima. Siku zote tunavyolijua Neno la Mungu ndivyo tunavyozidi kuwa na amani na ujasiri zaidi wa kusonga mbele kwasababu biblia inasema.. Neno lake ni taa ya miguu yetu, Na mwanga wa njia zetu (Zab 119:105). Leo kwa neema za Bwana tutajifunza tena kisa … Continue reading NAYE HERI AWAYE YOTE ASIYECHUKIZWA NAMI.