Juya ni nini kwenye biblia? (Mathayo 13:47)
Juya maana yake ni jarife, au wavu wa kuvulia samaki. Habari hiyo inapatikana kwenye vifungu hivi vya maandiko; Habakuki 1:13 “Wewe uliye na macho safi hata usiweze kuangalia uovu, wewe usiyeweza kutazama ukaidi, mbona unawaangalia watendao kwa hila; na kunyamaza kimya, hapo mtu mwovu ammezapo mtu aliye mwenye haki kuliko yeye; 14 na kufanya wanadamu … Continue reading Juya ni nini kwenye biblia? (Mathayo 13:47)
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed