Mavyaa ni nani kibiblia?(Mika 7:6)

Mavyaa ni nani? Neno hilo tunalipata katika mstari huu kwenye biblia;. Mika 7:6 “Kwa maana mwana humwaibisha babaye, na binti huondoka ashindane na mamaye; na mwanamke aliyeolewa hushindana na MAVYAAYE; adui za mtu ni watu wa nyumbani mwake mwenyewe. 7 Lakini mimi, nitamtazamia Bwana; nitamngojea Mungu wa wokovu wangu; Mungu wangu atanisikia”. Mavyaa ni Neno … Continue reading Mavyaa ni nani kibiblia?(Mika 7:6)