Mavu ni nini katika biblia?(Kutoka 23:28, Kumb 7:20)

 Mavu ni nini?  Mavu ni wadudu jamii ya nyuki, kwa jina maarufu ni NYIGU. Maumbile yao ni makubwa zaidi ya nyuki wa kawaida, Na mauvimu yao ni kama tu yale ya nyuki.. Wametajwa mara kadha wa kadha katika biblia, na hivi ni baadhi ya vifungu vinavyowaelezea; Kutoka 23:27 “Nitatuma utisho wangu utangulie mbele yako, nami … Continue reading Mavu ni nini katika biblia?(Kutoka 23:28, Kumb 7:20)