NA ROHO NA BIBI-ARUSI WASEMA, NJOO!

Shalom, nakukaribisha tuyatafakari Pamoja maneno ya uzima. Katika hichi kipindi cha mwisho, kuna mwitikio mmoja tu, ambao utamtambulisha bibi-arusi wa kweli wa Kristo ni nani.. Kumbuka bibi-arusi ni tofauti na Suria, Sulemani alikuwa na Masuria 700 lakini wake au (bibia-arusi) walikuwa ni 300 tu. Tofauti ya mke na suria ni kuwa mke anauhalali wa vyote … Continue reading NA ROHO NA BIBI-ARUSI WASEMA, NJOO!