WOSIA WA BWANA YESU KWA WANAFUNZI WAKE.

Hakuna asiyejua kuwa Mzazi mwenye hekima anapokaribia kumaliza siku zake, huwa anawaita wanawe kuwapa wosia mfupi wa maisha pamoja na kuwabariki. Na Mzazi mwenye upendo ni yule anayewaambia wanawe au wajukuu wake ukweli wa maisha, na anayewapa tahadhari na anayewapa faraja na tumaini.. Na zaidi sana anapokaribia kumaliza siku zake huwa anawaambia wanawe siri ambazo … Continue reading WOSIA WA BWANA YESU KWA WANAFUNZI WAKE.