Bilauri ni nini kibiblia?(Ufunuo 21:11,22:1)
Bilauri ni glasi, Na kama tunavyojua glasi huwa zina mwonekano mzuri wa kung’ara na wakuvutia, usiositiri uchafu, zimetengenezwa kwa madini yanayoitwa Crystal, tazama picha juu, Katika biblia sehemu nyingi Neno hili limetumikia, na hiyo ni kufunua uzuri wa kitu, au mtu au Mungu au mahali fulani..Kwa mfano utaona, mstari huu, Wimbo 7:2 “Kitovu chako ni … Continue reading Bilauri ni nini kibiblia?(Ufunuo 21:11,22:1)
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed