Zabarajadi ni nini katika biblia (Ufunuo 21:20)?

Zabarajadi ni nini? Ni moja ya mawe ya thamani, ambayo yanaonekana yakitajwa sehemu nyingi katika biblia, mawe haya yapo katika rangi mbalimbali, mengine yana rangi kama ya kijani, mengine njano, mengine nyekundu, bluu n.k. tazama picha. Katika biblia tunaona kile kifuko cha kifuani cha Haruni, kati  ya yale mawe 12 yaliyowekwa pale mojawapo lilikuwa ni … Continue reading Zabarajadi ni nini katika biblia (Ufunuo 21:20)?