Marijani ni nini katika biblia(Ayubu 28:18,Mithali 8:11)?

Marijani ni nini? Ni madini ya thamani, yenye rangi iliyo katikati ya wa waridi/pinki na nyekundu iliyokolea (rangi ya damu). Yamezoeleka kuitwa kwa jina la kiingereza “Ruby”. Tazama picha juu. Kwenye biblia madini haya yametajwa sehemu nyingi kufunua vitu mbalimbali; Kwamfano, katika Ayubu, inasema thamani ya hekima, haiwezi kufananishwa na thamani ya kito chochote, sio … Continue reading Marijani ni nini katika biblia(Ayubu 28:18,Mithali 8:11)?