Shalom, Karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya Bwana wetu. Ndugu, ukilikosa tumaini ambalo linapatikana kwa YESU tu peke yake, ni ngumu kuimaliza hii safari yako hapa duniani salama, haijalishi utajifanya una furaha kiasi gani, furaha hiyo ni feki ndugu yangu, huwezi kuushinda huu ulimwengu uliojaa vishawishi na shida na taabu, na mitego mingi ya adui, … Continue reading NANGA YA ROHO, YENYE SALAMA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed