KUOTA UNAJIFUNGUA.

Kuota unajifungua kuna maanisha nini? Ndoto hii inaweza ikawa na maana mbili, maana ya kwanza ambayo ninaweza  kusema inawapata wengi, ni ile inayotokana na shughuli nyingi au mambo tuliyowahi kuyapitia, au kuyawaza, au kuyatenda mara kwa mara huko nyuma. Biblia inasema. Mhubiri 5:3 “Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya shughuli nyingi;…….”. Hivyo sishangai kama … Continue reading KUOTA UNAJIFUNGUA.