Je! Bwana Yesu alitumwa kwa Waisraeli tu peke yao?
SWALI: Je! Bwana Yesu alitumwa kwa Waisraeli tu peke yao au kwa watu wote wa mataifa..Maana yeye mwenyewe alisema katika Mathayo 10:5, kwamba wasihubiri kwa watu wa Mataifa. JIBU: Tusome.. Mathayo 10:5 “Hao Thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wo wote wa Wasamaria msiingie. 6 Afadhali shikeni njia … Continue reading Je! Bwana Yesu alitumwa kwa Waisraeli tu peke yao?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed