JIHADHARI NA UONGO WA SHETANI UNAOKARIBIANA NA UKWELI.

Biblia inasema shetani ni Baba wa uongo Yohana 8:44, Maana yake kazi yake ni kusema uongo, na uongo sio wa kudanganya watumishi wake, hao siku nyingi tayari ni wa kwake…anachokifanya ni kuwafundisha watumishi wake uongo, ili wakadanganye wengine…Ndio maana anaitwa Baba wa uongo. Na uongo wake unakaribia sana kufanana na ukweli…ili hela bandia iweze kuwadanganya … Continue reading JIHADHARI NA UONGO WA SHETANI UNAOKARIBIANA NA UKWELI.