Moyo wake mwenye hekima upo upande wa kuume, maana yake nini?

SWALI: Nini maana ya huu mstari? Mhubiri 10:2 “Moyo wake mwenye hekima upo upande wa kuume; Bali moyo wake mpumbavu upo mkono wa kushoto”. JIBU: Mstari huo unatuonyesha wazi kuwa kumbe moyo wa mwanadamu unao upande wa kukaa, haupo tu hewani bila una makao, ni aidha ukae upande wa mkono wa kuume, au upande wa … Continue reading Moyo wake mwenye hekima upo upande wa kuume, maana yake nini?