SIFONGO NA SIKI NI NINI?

SWALI: Sifongo na siki ni nini, alizopewa Bwana Yesu pale Msalabani? JIBU: Tusome.. Yohana 19: 28  “Baada ya hayo Yesu, hali akijua ya kuwa yote yamekwisha kumalizika ili andiko litimizwe, akasema, Naona kiu. 29  Kulikuwako huko chombo kimejaa siki; basi wakatia sifongo iliyojaa siki juu ya ufito wa hisopo, wakampelekea kinywani. 30  Basi Yesu alipokwisha … Continue reading SIFONGO NA SIKI NI NINI?