Kwanini madhabahu zilitengenezwa kwa mawe yasiyochongwa?

SWALI: Kwanini Musa aliagizwa awaambie wana wa Israeli watengeneze madhabahu kwa mawe yasiyochongwa? Kwanini yawe mawe yasiyochongwa? JIBU: Tusome vifungu vyenyewe; Kutoka 20:24 “….. kila mahali nitakapotia ukumbusho wa jina langu, hapo ndipo nitakapokujilia na kukubarikia. 25 Nawe ukinifanyia madhabahu ya mawe, hutaijenga ya mawe yaliyochongwa; kwa kuwa ukiwa wewe umetumia chombo chako katika kuichonga … Continue reading Kwanini madhabahu zilitengenezwa kwa mawe yasiyochongwa?