Kulabu ni nini katika biblia?(2Wafalme 19:27)

Kulabu ni nini katika biblia? Kulabu ni aina ya ndoano, tofauti na ile ya kuvulia samaki hii ni ile inayotumiwa kushikilia vitu, kama vile mapazia, mashuka, nguo n.k., tazama picha juu uone mfano wa kulabu za mapazia, Na ndio zilikuwa zinatumika katika kushikilia nguo za ua wa hema ya kukutania. Kutoka 26:37 “Nawe fanya nguzo … Continue reading Kulabu ni nini katika biblia?(2Wafalme 19:27)