Nyungu ni nini kibiblia?(Ayubu 41:20,31, Waamuzi 6:19)
Nyungu ni nini? Nyungu ni nini kibiblia?(Ayubu 41:20,31, Waamuzi 6:19) Nyungu ndio Chungu kwa jina lingine, kibiblia kilitumika kuchemshia maji, nyama, nafaka, mboga mboga n..k Unaweza kulisoma Neno hili katika vifungu vifuatavyo; Hesabu 11:7 “Na hiyo mana ilikuwa mfano wa chembe za mtama na kuonekana kwake kulikuwa kama kuonekana kwake bedola. 8 Watu wakazunguka-zunguka na … Continue reading Nyungu ni nini kibiblia?(Ayubu 41:20,31, Waamuzi 6:19)
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed