Neno “Via” linamaanisha nini katika biblia?
Kibiblia via ni viungo vya mwili wa mwanadamu au mnyama,, husasani mikono au miguu. Hivi ni baadhi ya vifungu vinavyolitaja Neno hilo; Ayubu 17: 7 “Jicho langu nalo limekuwa giza kwa sababu ya majonzi, Na via vyangu vyote vimekuwa kama kivuli”. Ayubu 18:13 “Utakula via vya mwili wake, Naam, mzaliwa wa kwanza wa mauti atavila … Continue reading Neno “Via” linamaanisha nini katika biblia?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed