MAANA WEWE, BWANA HUKUWAACHA WAKUTAFUTAO”.

Zaburi 9:10 “Nao wakujuao jina lako wakutumaini Wewe, Maana Wewe, Bwana hukuwaacha wakutafutao”. Shalom, tuzidi kujikumbusha kuwa.. Mungu anapenda sana watu wanaomtafuta, anapenda watu wanaoonyesha Nia ya dhati katika kumjua yeye, Mtu anayemtafuta Mungu kamwe Mungu hawezi kumuacha. Atakuwa naye bega kwa bega tu, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu, kwasababu ni ahadi yake kuwa … Continue reading MAANA WEWE, BWANA HUKUWAACHA WAKUTAFUTAO”.