Mjanja ni mtu wa namna gani kwenye biblia?(Mathayo 27:63)
Mjanja ni mtu anayetumia njia za kujifanya, ili kuwadanganya au kuwalaghai wengine. (Mtu mdanganyifu). Makuhani walimwita Bwana wetu kwa jina hilo; walimfananisha na mtu mdanganyifu anayewalaghai watu kwa kujifanya kuwa anaweza kufufuka wakati hawezi, ili watu wamwamini pale wanafunzi wake watakapokuja kuiba maiti yake. Mathayo 27:62 “Hata siku ya pili, ndiyo iliyo baada ya Maandalio, … Continue reading Mjanja ni mtu wa namna gani kwenye biblia?(Mathayo 27:63)
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed