Njuga ni nini (Isaya 3:16, Zekaria 14:20)?

Njuga ni kengele ndogo ndogo zinazofungwa miguuni au mikononi, na wakati mwingine shingoni, wanavishwa watoto, au watu wanapotaka kucheza ngoma, au wanyama, kama vile ngamia, na farasi n.k..tazama picha Hivi ni baadhi ya vifungu vinavyolitaja Neno hilo; Isaya 3:16 “Bwana akasema tena, Kwa sababu binti za Sayuni wana kiburi, na kuenenda na shingo zilizonyoshwa, na … Continue reading Njuga ni nini (Isaya 3:16, Zekaria 14:20)?