Konzi ni kiasi cha kujaa mkono. Kama vile ilivyo kiasi cha kujaa ndoo kinavyoitwa debe, vivyo hivyo na kiasi cha kujaa mkono kinaitwa konzi. Tazama picha juu. Hivi ni baadhi ya vifungu ambavyo utakutana na Neno hilo; Mithali 30:4 “Ni nani aliyepanda mbinguni na kushuka chini? Ni nani aliyekamata upepo kwa makonzi yake? Ni nani … Continue reading Konzi ni nini?(Mhubiri 4:6)
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed