Kongwa ni nini kwenye biblia?(Wagalatia 5:1)

Kongwa ni kifungo cha shingoni. Kwa jina lingine ni nira. Tazama picha. Hivi ni baadhi ya vifungu vinavyolitaja neno hilo; Kumb 28:48 “kwa hiyo utawatumikia adui zako atakaowaleta Bwana juu yako, kwa njaa, na kwa kiu, na kwa uchi, na kwa uhitaji wa vitu vyote; naye atakuvika kongwa la chuma shingoni mwako, hata atakapokwisha kukuangamiza”. … Continue reading Kongwa ni nini kwenye biblia?(Wagalatia 5:1)