Chamchela ni nini kwenye biblia?(Zaburi 58:9, Amosi 1:14)

Chamchela ni neno linalomaanisha  ‘kisulisuli’, Utalisoma neno hilo kwenye vifungu hivi katika biblia; Zaburi 58:9 “Kabla ya masufuria yenu kupata moto wa miiba, Ataipeperusha kama chamchela, Iliyo mibichi na iliyo moto. ” Isaya 29:5 “Lakini wingi wa adui zako utakuwa kama mavumbi membamba, na wingi wao watishao utakuwa kama makapi yapitayo; naam, itakuwa mara na … Continue reading Chamchela ni nini kwenye biblia?(Zaburi 58:9, Amosi 1:14)